logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Vidokezo vya kufanya usafi wako kuwa rahisi na wakufurahisha

OMO imeboreshwa zaidi ili kuweza kuondoa madoa sugu kwenye nguo zako.

image
na Radio Jambo

Habari03 August 2022 - 11:56

Muhtasari


  • Je, wewe hupangaje nguo zako wakati wa siku yakufanya usafi? Unarundika nguo zenye udongo mwingi pamoja ama kama uko na familia unafua za kila mtu binafsi au unapanga kwa rangi?
  • Omo ina manukato ya kuvutia na ya kudumu siku 14 kwenye nguo zako (14 days of freshness).

Kufua nguo ni jambo ambalo wengi wetu hufanya kila siku. Hata kama umekuwa ukifanya ufuaji kwa miaka mingi, kuna nyakati ambazo matokeo yake hayapendezi. Tutakupea vidokezo kadhaa vitakavyokusaidia kupata matokeo bora iwezekanavyo kila unapofua.

Je, wewe hupangaje nguo zako wakati wa siku yakufanya usafi? Unarundika nguo zenye udongo mwingi pamoja ama kama uko na familia unafua za kila mtu binafsi au unapanga kwa rangi?

Kama uko kwa kategoria yoyote tulioitaja hapo juu, tunatumai umetambua OMO mpya ambayo ni mwonekano mpya na fomula iliyoboreshwa.

JINSI YA KUFUA NGUO KWA URAHISI NA OMO

  • Panga nguo zako kwa usahihi bila kuchanganya marangi tofauti.
  • Weka maji kwenye ndoo au beseni na kisha uweke kiasi cha kutosha cha sabuni ya OMO
  • Changanya OMO kwenye maji kabisa hadi iyeyuke na kutengeneza pofu la kutosha
  • Weka nguo zako kwenye maji kasha uziache kwa muda (soaking).
  • Fua nguo zako kwa urahisi, suuza kasha uanike.

MADOKEZO KUHUSU OMO MPYA

  1. OMO imeboreshwa zaidi ili kuweza kuondoa madoa sugu kwenye nguo zako.
  2. Inaondoa madoa kwenye nguo haraka na pasipokutumia Nguvu wala muda.
  3. Kiasi kidogo cha Sabuni ya OMO kinatosha kukupa povu la kutosha na kung’arisha nguo zako
  4. Ina manukato ya kuvutia na ya kudumu siku 14 kwenye nguo zako (14 days of freshness)
  5. OMO inakupa thamani ya pesa yako

Kutunza nguo zako sasa ni rahisi sana na OMO. Madoa ya nyasi, madoa ya matope, madoa ya vinywaji, madoa ya chakula, yote yanaondolewana OMO.

Unaweza kununua Omo mpya na iliyoboreshwa kwa bei ya chini kama Sh10 na inapatikana kwa ukubwa tofauti (yaani 15g, 30g, 200g, 500g, 1Kg, 2Kg na 3.5kg).

Inapatikana kwenye duka lililo karibu nawe.

Tambua OMO!

OMO Ni Unbeatable!


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved