logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kesi ya mali ya DP Rigathi Gachagua imeahirishwa

Kesi ya naibu wa rais Rigathi Gachagua imeahirishwa hadi tarehe 16 Machi.

image
na Davis Ojiambo

Habari09 March 2023 - 12:23

Muhtasari


  • •Gachagua anatarajiwa kulipa ada ya shilingi elfu tano.
Mahakama yakubali ombi la kutupiliwa mbali kesi ya ufisadi dhidi ya DP Gachagua.

Mahakama ya juu imepeana mwelekeo wa kusikizwa kwa kesi ya naibu rais Rigathi Gachagua tarehe 16 machi mwaka huu.Naibu rais anapigania kurejesha mali yenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 iliyoko karibu na uwanja wa ndege wa JKIA.

Kesi hiyo ilikuwa isikilizwe tarehe 9 Machi lakini mahakama iliarifiwa kuwa wakili wake Gachagua alikuwa  anajihisi vibaya kiasi.Kutokana na hili hakimu Justice Ogutu Mboya alimpa Gachagua faini ya shilingi elfu tano.

 

"


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved