Chaguo smarta ni...?

Airtel4G is Better. Faster. Everywhere. #MakeChaguoSmartaNaAirtel4G

Muhtasari
  • Fanya CHAGUO SMARTA na Airtel, ni mtandao wa bei nafuu zaidi kupiga simu, kutumia  data na sasa Airtel Money.
  • Unaweza kufanya malipo mahali popote nchini kupitia Buy goods na Paybill tills – Till ni till kwa mtandao wowote.
Pesa za Kenya
Pesa za Kenya
Image: HISANI

Kutafakari na kuandika malengo yako ya kifedha ni moja ya njia kuu za kukusaidia kuyafikia. Kupata akiba yako kwa utaratibu ni hatua ya kwanza.  Linapokuja suala la kufikia lengo lako la kuweka akiba, kuweka bajeti, kufuatilia matumizi yako, kuendesha akaunti zako ili kukusaidia na sheria ya 'hifadhi kwanza kisha kutumia' ni baadhi ya chaguzi nzuri ambazo watu hufanya.

Wakenya watano wafichua jinsi walivyofanya chaguzi nzuri kuwasaidia kuokoa Zaidi

1. Ununuzi mkubwa kutoka maduka ya jumla

Jane Mukami anasema yeye hufanya shopping yake ya nyumbwa mara mbili kwa mwaka. Amebainisha muuzaji wa jumla wa bei nafuu zaidi kwa bidhaa za nyumbani na ananunua kwa maduka kubwa tu vitu ambavyo hawezi kuvipata kwa muuzaji wa jumla. Ananunua kila kitu kwa wingi ikiwa ni pamoja na mafuta ya kupikia kama lita kumi, magunia ya unga, magunia ya sukari na mchele n.k. Hii imemwezesha kuokoa zaidi ya shilingi 10,000 kutokana na manunuzi yake ya nyumbani.

2. Ununuzi wa mboga siku za soko

Naliaka Achieng’ anasema ananunua mboga siku za sokoni wakati vitu hivyo huwa nafuu. Atanunua tu kile ambacho familia yake inahitaji ili kuepuka mboga kuoza kwa haraka.

3. Kuandaa chakula nyumbani kwako

Adam Kisula anasema alitumia pesa nyingi kula nje jambo ambalo lilikuwa likiathiri akiba yake. Aliamua kuwa mwerevu kuhusu jinsi alivyotumia pesa kwa kutayarisha chakula nyumbani. Sasa anakula mara moja tu kwa wiki na anarudi kwenye mstari na akiba yake.

4. Kubeba chakula cha mchana ofisini

Essy Nailantei anasema gharama yake kubwa ilitokana na kutumia fedha nyingi kununua chakula cha mchana kwa mahoteli. Aliamua kupika kila siku jioni na kubeba chakula cha mchana ofisini. Ameweza kufuata bajeti yake ya kila mwezi na pia ameweza kufurahia lishe bora.

5. Kuhamia Airtel

Kwa mtu ambaye anatumia pesa nyingi kwa muda wa kupiga simu na data, Ali Menze anasema kuhamia Airtel ilikuwa chaguo nzuri. Alipata a better connection, akaweza kupigia jamaa na marafiki kwa bei nafuu, na pia akaweza kuokoa Zaidi kwenye data na Airtel Money.

Faida za CHAGUO SMARTA na Airtel

  1. Airtel 4G Network ni Better, Faster and Everywhere. Hii inahakikisha kuwa unaendelea kushikamana na familia zako na marafiki kwenye Mtandao wa bei nafuu zaidi.
  2. Mtu sasa anaweza kutumia Airtel Money kutuma pesa BURE kwenye Airtel kwenda Airtel.
  3. Unaweza kufanya malipo mahali popote nchini kupitia Buy goods na Paybill tills – Till ni till kwa mtandao wowote.

Fanya CHAGUO SMARTA na Airtel, ni mtandao wa bei nafuu zaidi kupiga simu, kutumia  data na sasa Airtel Money. Piga *334# ili kupata Airtel Money.

Airtel4G is Better. Faster. Everywhere. #MakeChaguoSmartaNaAirtel4G