SHOWMAX

Ufichuzi wa Siri: Sakata ya kusisimua ya Second Family sasa inaonyeshwa kwenye Showmax

Programu ya Showmax inapatikana kwa simu, kompyuta kibao, runinga, vifaa vya kucheza video na vya michezo ya video.

Muhtasari
  • Ili kutazama My Second Family  na vipindi vingine vingi kwenye Showmax, unachohitaji ni usajili na kifaa kinachoweza kutumia  intaneti ili kutazama. 
  • Vifurushi vya usajili huanza kutoka Sh299. Tazama mtandaoni kwenye showmax.com au ukitumia programu ya Showmax.

Jiandae kuvutiwa kwenye ulimwengu wa kashfa wa Second Family, telenovela ya hivi punde zaidi kuonekana kwenye skrini nchini Kenya.

Filamu hiyo asilia ya Showmax ya  kuvutia ndiyo filamu ya kwanza ya telenovela nchini Kenya ambayo inafuatia maisha ya msichana  kutoka mji mdogo ambaye maisha yake ya ukamilifu yanavurugika anapofichua ukweli wa kushangaza - kwamba yeye ni sehemu ya familia ya pili ya baba yake, siri ambayo alikuwa ameficha kwa miaka nayo.

Huku vipindi vipya vikionyeshwa kila Jumatano hadi Ijumaa, watazamaji watakwama kwenye  skrini zao filamu inavyoendelea na drama kuongezeka.

Kipindi cha kwanza kinatufahamisha kuhusu ulimwengu mgumu wa Leo Lang'at, nafasi inayoigizwa  na Ian Mbugua(Single Kiasi), bilionea ambaye siri zake zinafichuka baada ya kifo chake kisichotarajiwa, na kuzihusisha familia zake mbili katika vita vya kutafuta utajiri, nguvu na kisasi.

Upande mmoja wa mzozo ni familia ya Gatehi ambayo ni  tajiri na imeimarika, ikiongozwa na kiongozi wa familia mwanamke,  Evangeline. Nafasi hiyo imechezwa na Dora Nyaboke(Single Kiasi,Crime and Justice), mhusika huyu makini, kukokotoa, mwenye kupanga, lakini anakosa huruma anapokasirishwa. Hili ni jukumu la kwanza kabisa la Nyaboke, na anafanya vizuri.

Upande mwingine wa mzozo ni Lang’at’s, familia ya pili ya Leo. Wakiwa katika nyumba yao ndogo ya Uasin Gishu, wanaongozwa na Sinde ambaye ni mdogo na mwenye bidii, nafasi ambayo inachezwa na Vanessa Okeyo.

Baada ya kugundua siri za babake, Sinde anaanza kumpa changamoto Evangeline kwa madhumuni ya udhibiti wa hima ya Leo, na mzozo unaofuata una  hakika ya kuwaweka watazamaji wamekwama  kwenye viti vyao.

Ili kutazama My Second Family  na vipindi vingine vingi kwenye Showmax, unachohitaji ni usajili na kifaa kinachoweza kutumia  intaneti ili kutazama. Vifurushi vya usajili huanza kutoka Sh299. Tazama mtandaoni kwenye showmax.com au ukitumia programu ya Showmax.

Programu ya Showmax inapatikana kwa simu, kompyuta kibao, runinga, vifaa vya kucheza video na vya michezo ya video.