Pep Guardiola: Miaka 8 ya Mafanikio usukani mwa Manchester City

Baada ya kushinda kombe la UEFA Super, Guardiola alifikisha idadi ya mataji 15 kama meneja wa Manchester City.

Muhtasari

• Manchester City imekuwa timu ya tatu kutoka UIngereza kuwahi kushinda kombe la UEFA Super Cup.

• Guardiola aliweka historia kama meneja wa kwanza kwa timu hiyo kuisaidia kushinda taji lao la kwanza la Klabu bingwa Ulaya.

Mafanikio ya Guardiola
RADIO JAMBO. Mafanikio ya Guardiola