logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tanzia:mwanahabari Winnie Mukami afariki

Tanzia:mwanahabari Winnie Mukami afariki

image
na Radio Jambo

Habari18 March 2021 - 08:25

Muhtasari


  • Mtangazaji wa zamani wa habari wa NTV Winnie Mukami ameaga dunia,Kulingana na ripoti, Mukami alikuwa ameambukizwa  virusi vya Covid-19

Mtangazaji wa zamani wa habari wa NTV Winnie Mukami ameaga dunia,Kulingana na ripoti, Mukami alikuwa ameambukizwa  virusi vya Covid-19.

Aliteuliwa kwa Bodi ya kenya pipeline  mnamo 2018 kwa kipindi cha miaka mitatu, Mukami aliaga dunia akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi Women.

"Nimepata habari tu kwamba tumepoteza mwanahabari mwenzetu, mwanahabri  wa zamani  wa NTV Winnie Mukami.

Natuma rambi rambi zangu kwa familia yake na marafiki anapopumzika," Mhariri Olver Mathenge aliandika.

Wakati akifanya kazi katika kampuni ya  Nation Media Group ambapo nyota yake iliangaza na mara nyingi alikuwa akilinganishwa na wanahabari wa juu  kama Katherine Kasavuli, Swaleh Mdoe, Sophie Ikenye, na Louis Otieno kati ya wengine.

Kutoka kwetu wanajambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved