Maafisa wa UDA wakamatwa kwa tuhuma za kununua vitambulisho Kakamega

Wawili hao wamekamatwa kwa madai ya kununua vitambulisho kutoka kwa wakazi wa wadi ya Shirere mjini kakamega.

Muhtasari

•Hata hivyo, mshirikishi wa chama hicho, Bi Damaris Ondisa amekanusha madai hayo  na kusema kuwa wanachokifanya ni kuwasajili wanachama kwa hiari.

UDA offices
UDA offices
Image: THE STAR

Habari na Cyrus Akhonya

Maafisa wawili wa chama cha UDA kinachohusishwa na naibu rais William ruto wamekamatwa mjini kakamega kwa tuhuma za ulaghai.

Wawili hao wamekamatwa kwa madai ya kununua vitambulisho kutoka kwa wakazi wa wadi ya Shirere mjini kakamega.

Hata hivyo, mshirikishi wa chama hicho, Bi Damaris Ondisa amekanusha madai hayo  na kusema kuwa wanachokifanya ni kuwasajili wanachama kwa hiari.

Mengine yatafuata yanapojiri...