Picha - Waiguru agura Jubilee

Muhtasari

• Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru siku ya Jumanne aliongoza kundi la wakilishi wadi kutoka kaunti hiyo kukutana na naibu rais William Ruto na kujiunga rasmi na chama cha UDA.

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru siku ya Jumanne aliongoza kundi la wakilishi wadi kutoka kaunti hiyo kukutana na naibu rais William Ruto na kujiunga rasmi na chama cha UDA.

Hizi ni baadhi ya picha za mkutano huo.