Jikinge na gas fake, kaa sure na K-Gas!

Wanabiashara tapeli kama Brayo watengeneza chapa au lebo ya ubora bandia - ndio sababu Rubis wameweka nambari ya kuthibitisha kweli kuwa gesi yako ni halisi na imetoka kwao.

Muhtasari
  • Ikiwa unanunua K-gas kutoka kwa muuzaji wa gesi hapo karibu nawe, nunua ile ambayo ina chapa au lebo ya ubora, kisha utume ujumbe kwa nambari 23003 kuhakikisha kwamba ni halali.
  • Kwa sasa unaweza hakikisha gesi ya kilo 6 peke yake lakini Rubis wanafanya kazi kwa hima kuhakikisha kwamba chapa ya ubora mpya iko kwa gesi ya kilo 13 hivi karibuni.

Je, unaponunua gesi ya kupikia nyumbani, unabainisha aje kwamba mtungi ulionunua ni halali na salama ? Labda unafikiri swali hili si muhimu na mtungi wa gesi yako haiwezi kuvuja ama kulipuka na kudhulumu wewe na familia yako.  Mwathirika wa mwisho alikua kama wewe.

Ukweli ni kwamba huwezi kujua kama silinda ni halisi au bandia  kwa kuangalia tu . Wanabiashara tapeli kama Brayo watengeneza chapa au lebo ya ubora bandia - ndio sababu Rubis wameweka nambari ya kuthibitisha kweli kuwa gesi yako ni halisi na imetoka kwao.

Huyo mtapeli Brayo anacheza na kiwango cha gesi kwa mtungi unayonunua hata mpaka anaongezea  maji katika silinda, hivyo unahisi ni nzito lakini gesi ya ndani ni kidogo

Brayo pia hana kifaa cha kuangalia usalama wa silinda kwa sababu ni bei ghali.  Kwa hivyo ikiwa valve ni mbaya huwezi kujua. Gesi yako itavuja na hii inaweza kusababisha mlipuko.

Ikiwa mtungi wa gesi una  shida , serikali inauliza kampuni ya mafuta / gesi. Si haki kufaidika na mali ya mtu mwingine na yeye ndiye anagaramia mambo yote hasa shida ikitokea.

Kwa hivyo, kama unataka kuwa na uhakika kwamba uko salama katika nyumba yako:

  1. Nunua Kgas kutoka kituo cha petroli cha Rubis
  2. Nunua Kgas kutoka kwa App ya Rubis na utaletewa mpaka hapo ulipo.
  3. Ikiwa unanunua K-gas kutoka kwa muuzaji wa gesi hapo karibu nawe, nunua ile ambayo ina chapa au lebo ya ubora, kisha utume ujumbe kwa nambari 23003 kuhakikisha kwamba ni halali.

Kwa sasa unaweza hakikisha gesi ya kilo 6 peke yake lakini Rubis wanafanya kazi kwa hima kuhakikisha kwamba chapa ya ubora mpya iko kwa gesi ya kilo 13 hivi karibuni.

Kumbuka gas mzuri ni K-Gas original pekee yake. Download app ya Rubis leo kupitia https://bit.ly/35g0w8z . Agiza K-gas kutoka kwa faraja ya nyumba yako kupitia App ya RUBiS Energy Kenya. Utapata gesi yako haraka upesi #KaaSureNaKGas.