Absa

Pamoja tunawiri na Absa

Jiwezeshe na Timiza. Dial *848# now.

Muhtasari
  • Unaweza kupata hadi 20% off ya ada ya mkopo kwa ulipaji wa mapema na kikomo cha mkopo kuongezeka kila baada ya miezi 2 kwa wakopaji wa kawaida tu kwenye programu ya Timiza.
  • Jiwezeshe na Timiza ku-grow loan limit yako. As long as uko na mpango, unaweza unlock unlimited possibilities for your biashara.

Susan Kamande kutoka Umoja alicheza na Timiza ikamsaidia ku make deposits for her chama. Vile alianzisha biz yake ya salon, loans za Timiza zilimsaidia ku-buy braids na akaexpand kwa vipodozi.

Susan sasa anatumia Timiza ku-buy stock ya biz every time. Yaani Timiza imemwezesha ku-unlock unlimited possibilities kwa biz yake.

Kupata mkopo wa Timiza sio lazima ikuwe ya kujisort wakati wa hali ngumu. Unaweza pia kuwa kama Susan usort business yako.

Jiwezeshe na Timiza ku-grow loan limit yako. As long as uko na mpango, unaweza unlock unlimited possibilities for your biashara. Biz yako haijui limits na Timiza. Ikuwe ni salon, kibandaski ama ata duka la dawa, inaweza kuenea ukijiwezesha na Timiza kukukuza kikomo cha mkopo wako.

Unaweza kupata mkopo wa papo hapo, kutuma pesa, kulipa bill zako au kununua airtime na kupata bima wakati unafanya benki yako kwenye simu yako na Timiza. Lakini hiyo sio yote - unaweza pia kuokoa na kupata mapato na Timiza Savings Account.

Unaweza kupata hadi 20% off ya ada ya mkopo kwa ulipaji wa mapema na kikomo cha mkopo kuongezeka kila baada ya miezi 2 kwa wakopaji wa kawaida tu kwenye programu ya Timiza.

Kujiwezesha na Timiza kuunlock unlimited possibilities ya biashara yako ni kama:

  1. Kupata mikopo extended kwa miezi 3, 6 na 9 wakati unahitaji kulipa mshahara na wateja wako wamechelewesha malipo
  2. Ada ya mkopo chini ya 5% ili kuhakikisha kuwa una laini ya bei nafuu ya mkopo wakati unahitaji kurestock kwa haraka zaidi.
  3. Wakati credit yako inaisha unapopiga simu, ama stima na maji yako imekatwa, unaweza nunua airtime na ulipie bill zako za matumizi kupitia Timiza ili kuhakikisha kwamba biashara yako inaendelea bila kusumbuliwa.

Unlock unlimited possibilities for your biashara kwa kubonyeza *848# ama download the Timiza App from Google Play Store or App store leo.

That’s Africanacity. That’s Absa. Pamoja Tunawiri.