Rais William Ruto atangaza baraza la mawaziri

Rigathi Gachagua – Atasaidia rais katika majukumu yote ya urais, na kuongoza kamati za baraza la mawaziri.

Muhtasari

• Aden Duale amependekezwa kuwa waziri wa Ulinzi huku aliyekuwa Spika wa bunge Justin Muturi akipendekezwa kuwa Mwanasheria mkuu. 

Safari ya mwanzo kabisa ya Ruto kama rais
Image: MAKTABA

Rais William Ruto ametangaza baraza lake la mawaziri.

Akitangaza rais amempokeza majukumu mengi naibu rais Rigathi Gachagua ikiwemo kuongoza kamati za baraza la mawaziri.

Baraza la mawaziri ni kama ifuatavyo .

Rigathi Gachagua –  Atasaidia rais katika majukumu yote ya urais, na kuongoza kamati za baraza la mawaziri.

Musalia Mudavadi – Waziri mkuu

Kindiki Kithure  - Waziri wa masuala ya ndani

Njuguna Ndugu – Fedha

Aisha Jumwa – Waziri wa utumishi wa umma na jinsia

Aden Duale – Ulinzi  

Alice Wahome – Waziri wa Maji

Alfred Mutua – Waziri wa mambo ya nje

Moses Kuria – Waziri wa Biashara na Viwanda

Rebecca Miano – Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki

Kipchumba  Murkomen – Waziri wa barabara

Roselinda Soipan Tuya  - Waziri wa Mazingira

Zachary Mwangi Njeru – Waziri wa Ardhi

Penina Malonza – Waziri wa Utalii

Mithika Linturi – Waziri wa Kilimo

Susan Nakhumicha Wafula – Waziri wa Afya

Eliud Ewalo – Waziri wa mawasiliano

Ezekiel Machogu – Waziri wa Elimu

Davis Chrchir – Waziri wa mafuta

Ababu Namwamba – Waziri wa Michezo na vijana

Simon Chelugui – Waziri wa ushirika

Salim Mvurya – Madini na uchumi wa majini

Florence Bore – Waziri wa Leba

Justin Muturi -  Mwanashria Mkuu

Mercy Wanjau – Katibu wa baraza la mawaziri.