LIVE! Waziri wa fedha awasilisha bungeni bajeti ya 2023/24

Bajeti hiyo inalenga kuanzisha ushuru wa asilimia 1.5 kwa mshahara wa kila mfanyikazi kugharamia ujenzi wa nyumba za bei nafuu.

Muhtasari

• Wabunge wa upinzani waliondoka mara tu waziri alianza kusoma bajeti.