•Wizara ya elimu imetangaza kuwa itahakikisha watahiniwa wote ambao walikosa kukalia mitihani yao ya kitaifa watapata nafasi ya kufanya mitihani hiyo baadaye.