Mackenzie apatikana na hatia ya kuwa na filamu za uchochezi dhidi ya wasio Wakristo

Mwendesha mashtaka Joseph Mwangi alithibitisha kesi hiyo siku ya Ijumaa..

Muhtasari

• Mackenzie amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu ambazo hazijaainishwa na kuendesha studio ya kurekodia bila kuwa na leseni.

Paul Mackenzie akizungumza na maafisa wa magereza wakati yeye na washtakiwa wengine 27 walipofika mbele ya hakimu mkuu mkuu wa Shanzu Yusuf Shikanda.
Paul Mackenzie akizungumza na maafisa wa magereza wakati yeye na washtakiwa wengine 27 walipofika mbele ya hakimu mkuu mkuu wa Shanzu Yusuf Shikanda.
Image: MAKTABA

Paul Mackenzie amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu ambazo hazijaainishwa na kuendesha studio ya kurekodia bila kuwa na leseni halali ya kurekodi filamu.

Mwendesha mashtaka Joseph Mwangi alithibitisha kesi hiyo siku ya Ijumaa..

Mahakama pia iliamuru kwamba ripoti ya mapema ya hukumu iwasilishwe na Huduma ya Uangalizi na Huduma za Baadaye ili kunasa hisia za mlalamishi, ambaye ni Mwendesha Mashtaka.

Kesi hiyo itatajwa Desemba 1.

zaidi yatafuata...