yusuf
Picha na
Muhtasari
Kila unachofanya,kifanye kwa ubora wote
Hakuna anayeza kuizima nyota yako iwapo utairusha juu ya zote
Usijilize kwamba kuna mtu anayekuzuia kufanya jambo ama kufaulu .Jishughulishe na kufanya kila jambo lako kwa njia bora kumliko yeyote