Pata Busara ya kuanza siku

Nipe nikupe haimaanishi kwamba twatoshana

Kila Mtu ana umuhimu wake

Muhtasari

 

  • Usiogope kusaidia hata kma ulicho nacho ni kidgo 
  • Usijidunishe 

 

Kauli ya Siku Jumanne 13,Oktoba 2020
Image: Yusuf Juma

 

  Nipe nikupe haimaanishi kwamba twatoshana

Maelezo: Usijidharau kwamba huwezi kumsaidia yeyote kwa sababu ya hali yako .Kila mtu ana umuhimu wake

 

 

Video from YusufJuma