Muhtasari
- Usitegemee mtazamo ama ushauri wa mtu mmoja
- Jifanyie uamuzi na heshimu msimamo wa mwingine
Kesho anayoona mwenzio sio yako
Maelezo:Mtazamo wako haufai kuwa sheria,kila mmoja anaweza kuwa na mtazamo tofauti kuhusu jambo lolote
Video from YusufJuma