ANN NDERITU

Wabunge waidhinisha uteuzi wa Anne Nderitu kama msajili wa vyama vya kisiasa

Kamati moja ya bunge siku ya alhamisi  imeidhinisha uteuzi wa Anne Nderitu kama msajili wa vyama vya kisiasa . Nderitu  amekuwa  akishikilia nafasi hiyo kwa...
Al Shabaab

3 watekwa nyara na wanamgambo wa Al Shabaab Mandera

Watu watatu hawajulikani waliko baada ya kutekwa nyara na washukiwa kundi la kigaidi la Al Shabaab katika kaunti ya Mandera siku ya Jumatano jioni. Polisi...
jowie

Ni ukweli ama ni Drama? Mashabiki watoa usemi kuhusu uvumi wa Jowie Irungu kutengana na mkewe Eleanor

Jowie Irungu  na mke wake  Musangi wamzua uvumi kuhusu kutengana na baada ya mmoja kujiondoa katika kaunti ya mwenzake mitandaoni na pia kuzifuta picha walizopiga...
Uhuru.1 (2)

Ushirikiano bora wa kimataifa ni muhimu katika kukabili changamoto za kimataifa

Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba utangamano muafaka katika mfumo wa kimataifa unaozingatia sheria, ni muhimu katika kukabili changamoto zinazokumba ulimwengu ikiwemo kuleta amani na ufanisi....
Sudi.1

Mbunge Oscar Sudi ashtakiwa huku akiondolewa mashtaka matatu

Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi alishtakiwa rasmi siku ya Jumatano na kufunguliwa mashtaka matatu huku mashtaka mengine yaliyokuwa yamependekezwa dhidi yake yakiondolewa. Upande wa mashtaka...
Raila odinga

‘Keki ya kitaifa inafaa kuongezwa’- Raila

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amesema  magavana wanafaa kujipa jukumu la kuzidisha uzalishaji ili pawepo raslimali za kutosha kwa wakenya wote. Raila  amesema...
Mengi kati ya mataifa ya frika yaliwataka watu wake wavae barakoa kuaznia mwanzoni mwa mlipuko

Virusi vya corona: Mkuu wa afya asifu mapambano ya Afrika dhidi ya Covid-19

Mkuu wa kituo cha Afrika cha kudhibiti na kuzuia magonjwa (ECDC) ameyasifu mataifa ya Afrika kwa kuweza kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona. Afrika...
Zuchu na Diamond

Sina uhusiano na Diamond, Zuchu asema

Taarifa ya Elizabeth Ngigi Mwanamuziki wa lebo ya Wasafi  Zuchu amezungumzia uvumi unaozingira taaluma yake na ngoma yake mpya na boss wake Diamond Platnumz.  ...
thursday

Ukiachana na mtu, achana naye kwa uzuri+Podi ya Yusuf Juma

Kuna makovu ambayo baadhi ya watu huyabeba wanapotengana na mtu katika mahusiano au ndoa. Wasichojua ni kwamba makovu hayo huweza kukuvuta nyuma na kukuzuia kupiga...
ruto

Walinzi wa Ruto waondolewa kutoka kikosi cha ulinzi wa rais baada ya patashika ya kukamatwa kwa Sudi

Maafisa watatu wa kikosi cha  kumlinda rais  waliokuwa katika boma la mbunge wa kapsret Oscar Sudi wakati walikuwa akimamatwa wameondolewa kutoka kikosi hicho . Baraza...
Tala man

Wewe ni side-chick?Hizi hapa sababu ambazo mwanamume hawezi muacha mkewe

Katika kisasi hiki cha sasa wengi badala waoelewe wanapenda kuwa mipango ya kando ya wanaume ambao wanafamilia na watoto wao huku wakiwaongezea majukumu ya kila...
woman 3

Mwanamke ajipata pabaya baada ya kukula ‘fare’ na kisha kushtakiwa na mwanamume huyo

Mwanamke mmoja alijipata pabaya baada ya kutumiwa nauli na mwanamume mmoja na kisha akaamua kuikula, ni visa ambavyo wanaume wengi yaani ‘Boychild’ amekuwa wakipitia endapo...
kagwe 1

Idadi ya waliofariki kwa ajili ya Covid 19 yafika 664 baada ya watu 5 zaidi kufariki

Visa vipya 130 vya covid 19 vimeripotiw anchini na kufikisha jumla ya visa hivyo kuwa  37,348 ,  amethibitisha waziri wa Afya Mutahi Kagwe . Visa...
Oparanya

Baraza la magavana latoa tahadhari kuhusu kuvunjwa kwa bunge

Baraza la magavana limeonya kuhusu kuvunjwa kwa bunge  kufuatia ushauri wa  jaji mkuu David Maraga kwa rais Uhuru Kenyatta . Jubilee hakitamsimamisha mgombeaji katika uchaguzi...
TUJU

Jubilee hakitamsimamisha mgombeaji katika uchaguzi mdogo wa Msambweni ODM-Tuju

Chama cha Jubilee hakitamsimamisha mgombeaji katika uchaguzi mdogo wa Msambweniu  . Kiti hicho kiliachwa wazi baada ya kifo cha   Suleiman Dori wa ODM. NMG yaagizwa...
covid milionaires

NMG yaagizwa kuitoa mtandaoni taarifa ya upekuzi ya ‘Covid Millionaires’

Mahakama kuu imeagiza kauni ya NMG  Kkuondoa mtandaoni taarifa ya upekzi ya  ‘Covid-19 Millionaires’  hadi kesi iliyowasilishwa dhidi yake isikizwe na kuamuliwa . Mabilioni ya...
vera-sidika-thirst-trap1-480x600

‘Nilidhani Vera alihitaji upasuaji wa akili kuliko kuongeza matiti,’Maverick Aoko

Mwanamitandao Maverick Aoko akiwa kwenye mahojiano alidai kwamba hamna tofauti kati ya mwanasosholaiti,slayqueen na kahaba ambao wanauza mili yao wa ajili ya pesa, ilhali tofauti...
kinoti

Kinoti ataka Malala ashtakiwe kwa madai ya uongo kuhusu njama ya kumuua

Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai George Kinoti akiwa mbele ya seneti huku akihojia alimtaka seneta wa Kakamega kukamatwa baada ya madai ya uongo...
Ogodo

MCA avunjwa mkono katika makabiliano bungeni kuhusu hoja ya kumfurusha gavana Obado

Mwakilishi  mmoja wa  kaunti  amevunjwa mkono katika patashika  ndani ya bunge la kaunti ya Migori  kabla ya kuwasilishwa kwa hoja ya kumuondoa afisini gavana Okoth...
pascal tokodi

Sikujua kama kipindi cha Selina kitakuwa kikubwa hivi-Pascal Tokodi

Muigizaji na mwanamuziki Nelson almaarufu Pascal Tokodi anafahamika sana kwa sauti yake na hata uigizaji wake,akiwa kwenye mahojiano muigizaji Pascal alizungumzia jinsi alipata uigizaji katika...
Mochache

Mamlaka ya uagizaji yawalaumu Mochache, Manjari kwa sakata ya Kemsa

Mamlaka ya kusimamia uagizaji  katika mashirika ya umma   (PPRA) imewalaumu katibu wa kudumu wa afya Susan Mochache na afisa mkuu mtendaji wa shirika la Kemsa ...
ruth Matete

Chama cha wasiomuamini Mungu chamtaka Ruth Matete kujiunga nao

Chama cha wasiomuamini Mungu Kenya (AIK), kimemuomba mshindi wa Tusker Project Fame na msanii wa nyimbo za injili Ruth Matete ajiunge na chama hicho. Hii...
wilber

Majuto? Wakati mwingine najutia kuwa gavana Ottichilo

Gavana wa Vihiga Wilber Ottichilo ameibua mseto wa hisia baada ya kusema wamba  wakati mwingine yeye hujita kuwa gavana . Katika mahojiano na gazeti la...
screen protector

Utalijua jiji! Tazama biashara na shughuli ambazo zilitumiwa kuwalaghai wakenya pesa

Kupenda pesa ama vitu vya haraka kuna gharama yake kama ambavyo wakenya walivyogundua katika miaka  na siku za hivi karibuni. Kuna makeke yaliyozuka na baadhi...
china

Mkutano wa Umoja wa Mataifa: Uhasama kati ya Marekani na China kuhusu corona wajitokeza tena

Mvutano kati ya Marekani na China ulijitokeza mbele ya mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump...
lusaka

Maseneta walalamikia kukatiliwa kwa misuada yao 13 na bunge la kitaifa

  Taarifa ya Julius Otieno Malumbano mapya ya ubabe baina ya bunge la kitaifa na seneti yamezuka tena kuhusiana na misuada. Maseneta wanapinga kukataliwa kwa...