Celtic watawazwa mabingwa wa Scotland -Skysport

skynews-celtic-scotland-football_4993169
skynews-celtic-scotland-football_4993169
Klabu inayoshiriki ligi kuu ya Scotland Celtic imetawazwa mabingwa wapya wa ligi hiyo baada ya serikli ya taifa hilo kuonegezea muda wa watu kusalia nyumbani kama njia ya kuhimili maambukizi ya corona.

Taarifa hizi zinajiri huku ligi kuu ya Uingereza ikitarajiwa kurejea Juni 12 baada ya wasimamizi kuafikiana na vilabu.

Wakati wanapotawazwa Celtic kama  mabingwa wapya,klabu ya Hearts imeshushwa ngazi kutoka kwa ligi hiyo baada ya kushikilia nafasi ya mwisho.

Ligi kuu ya Ujerumani ilichezwa wikendi hii huku hatua hiyo ikichochea ligi zingine ughaibuni kubuni mikakati ya kuhakikishi kuwa ligi zingine zinarejelewa.