logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mshambuliaji Dominic Solanke ajiunga na Tottenham

Spurs watalipa pauni milioni 55 pamoja na nyongeza ya pauni milioni 10 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26,

image
na Samuel Maina

Michezo10 August 2024 - 14:00

Muhtasari


  • •Spurs watalipa pauni milioni 55 pamoja na nyongeza ya pauni milioni 10 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26,

Tottenham Hotspurs wamemsajili mshambuliaji wa Uingereza Dominic Solanke kutoka Bournemouth kwa mkataba wa £65m.

Spurs watalipa pauni milioni 55 pamoja na nyongeza ya pauni milioni 10 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, ambaye amesaini mkataba hadi 2030.

Solanke, ambaye ana mechi moja, anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Tottenham msimu huu wa joto baada ya Yang Min-hyuk, Lucas Bergvall na Archie Gray.

Kocha wa Spurs Ange Postecoglou amekuwa akipambana kuimarisha safu yake ya ushambuliaji tangu nahodha wa Uingereza Harry Kane alipoondoka kuelekea Bayern Munich msimu uliopita.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved