Kocha Salim Babu ametaja kikosi chake cha muda kwa ajili ya mechi zijazo za kufuzu AFCON U-17 CECAFA.
Mchuano huo utang'oa nanga Jumamosi, Desemba 14, 2024 jijini Kampala Uganda.
Timu hiyo inatarajiwa kuingia kambini Ijumaa, Novemba 29 na kusafiri hadi Uganda Jumanne, Desemba 10.
Droo ya michuano hiyo itafanyika Alhamisi Novemba 28 saa tatu usiku na itashirikisha timu tisa, wakiwemo wenyeji Uganda, Burundi, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Somalia, Sudan Kusini, Sudan na Tanzania.
Kocha Babu atasaidiwa na naibu wake Anthony Akhulia wanapolenga kupata kufuzu kwa dimba la bara.
Kikosi
Makipa Theo Mwangi (Ongata Senior), Maurice Agutu (St. Joseph Kitale), Dominic Munisa (Highway Secondary School), Golan Odiwuor (Kisumu), William Owino (Kakamega), Wayne Orata (Kariobangi Sharks)
Walinzi Cosmos Azunga (Ongata Senior), Mohammed Chama (Moi Forces Mombasa), Dennis Mutuku (Highway Secondary School), Egnesious Omondi (Kisumu), Silvanus Ondeko (Highway Secondary School), Ahmed Siraji (Githurai All Stars), Raphael Omondi (St. Mary’s Yala), Charles Wesonga (Green Commandos), Preston Macharia (Junda High School), Nuaym Nasib Farooq (Nastic Sports Academy), Fidel Castro (Kisumu), Glory Maina (Kakamega), Denzel Omollo (Oaks International), Jonathan Njenga (Ligi Ndogo), Rashid Ouma (Highway Secondary School), Derrick Wahome (Ligi Ndogo), Wilson Nyangwero (St, Joseph’s Kitale), Carlos Kadzenga (Riba Boys), Seth Dasilva Otieno (Highway Secondary School), Loune Mwangush (Mombasa), Alvin Midimo (Highway Secondary School), Roy Mutimba (Spire Academy, USA), Fidel Odhiambo (Kisumu), Preston Macharia (Junda High School) Nevil Simiyu (Kisumu), Fedinand Isaac (Kakamega), Wayne Obama (Kakamega) Viungo Ramadhan Hamisi (Tononoka), Emmanuel Diaware (Nairobi Jaffreys), Alex Okoth Onyango (Our Lady of Fatima), Dismas Ongocho (Dagoretti High), Raymond Otieno (Brwon Hill), Alvin Masika (Kariobangi Sharks Youth), Ferdinand Mukamani, Edison Bwire Okwero (ABN Sports , Mali), James Nyamori (Nastic Sports Academy), James Mugo Ngari, James Mulwa Joseph (ABN Sports, Mali), Devin Charles (Kisumu), Harman Ochieng (Kisumu), Elvine Mubaka (Kakamega), Jumaa Mudzo (Mlaleo), Martin Mwangi Otieno (Mwatate High School), Kyle Ian (Eclavite), Amstrong Omondi (Alliance High School), Lulu Mukambi Wafukho (Jaffrey), Ryan Ehenzo (Highway Secondary School), Joshua Gegaga Wahome (Trinity School, UK), Lukande Mwale (Sad Huesca, Spain), Denis Kikwaye (Butere Boys High School), Lukonde Mwale (Nairobi International School), Tevine Oduor (Kisumu)
Washambuliaji
Dante Echessah, Hassan Saleh Akhonga, Timothy Okumu (Highway Secondary School), Geoffrey Omwam (Ambira High School), Danson Maringa (New Mwangeza), Hassan Messi Wairimu (Kayole Twilight), Gibson Wafula (Highway Secondary School), Sadik Racho (Khadijah), Benny Nzimi (Miritini Complex), Fahim Bushura (Kakamega), Mesie Blair (Kisumu), Enock Mwagandi (Kisumu), Yuri Martin Herbert, Muhammed Kadzoka (Mombasa), Milton Mabea (Ligi Ndogo) , Joseph Onyango (St. Patricks), Allan Otieno (Kisumu), Tevine Oduor (Kisumu), Banaya Enock (Kakamega)