Benjamin Kigen anyakulia Kenya shaba katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi

Muhtasari
  • Benjamin Kigen alinyakulia Kenya medali yake ya kwanza kwenye Olimpiki za Tokyo za 2020, baada ya kushinda shaba
  • Kigen alitumia saa 8: 11.45 katika fainali ya wanaume kuruka viunzi
Image: Hisani

Benjamin Kigen alinyakulia Kenya medali yake ya kwanza kwenye Olimpiki za Tokyo za 2020, baada ya kushinda shaba.

Kigen alitumia saa 8: 11.45 katika fainali ya wanaume kuruka viunzi.

Soufiane el Bakkani wa Morocco alishinda dhahabu wakati Ethiopia ilishika nafasi ya pili na fedha.

Utawala wa Kenya katika mbio za mita 3000 za kuruka viunzi kwa wanaume umevunjwa.

Mwishoni mwa wiki, Kigen alisema, "Jambo kuu lilikuwa kufuzu kwa fainali. Kulikuwa na kushindana na kusukuma wakati wa mbio na hata nilikanyagwa lakini sikujitoa kwa maana hii ni vita,"

Mengi yafuata;