logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Timu za Chelsea za kiume na kike zaweka rekodi nzuri msimu huu wa 2024/25 kufikia sasa

Chelsea ya wanawake imefunga mabao 41 katika mashindano yote huku wanaume wakifunga mabao 61 kufikia Desemba 9, msimu 2024/2025

image
na Brandon Asiema

Football09 December 2024 - 07:29

Muhtasari


  • Chelsea ya wanawake inaongoza ligi hiyo kwa alama 27, alama 5 juu ya nafasi ya pili Manchester City. Timu hiyo imecheza jumla ya mechi 9 ikiwa imeshinda mechi tano za awali.
  • Timu hizi mbili, zilishinda mechi ya wikendi iliyopita kwa mabao manne kila mmoja.

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved