KOMBE LA EURO

Nani aliyehusishwa kwenye Kombe la EURO 2020

Tazama vikosi vya mataifa bingwa bara Ulaya vitakavyomenyana kwenye kombe la EURO tarehe Juni 11

Muhtasari

•Jumla ya mataifa 24 ya bara Ulaya yatang'ang'ania kombe hilo 

EURO 2020
EURO 2020
Image: HISANI

Kombe la EURO 2020 linatarajiwa kuanza siku ya Ijumaa tarehe 11 mwezi huu wa Juni. Hii ni baada ya kombe hilo lililofaa kuchezwa  mwaka jana kuahirishwa hadi mwakani kutokana na janga la Korona.

Jumla ya mataifa 24 ya bara Ulaya yatang'ang'ania kombe hilo ambalo kwa sasa liko mikononi mwa  nchi ya Ureno  ambayo ilishinda mwaka wa 2016.

 

Nchi 6 ambazo zinabashiriwa kutesa katika kombe hilo ni Uingereza, Ufaransa, Ureno, Uholanzi, Ubelgiji na Uhispania. Tumenakiri vikosi vya nchi hizo sita ambazo zina wachezaji mashuhuri zaidi.

Uingereza

Kikosi cha Uingereza
Kikosi cha Uingereza
Image: Hisani

Walinda lango: Dean Henderson (Manchester United), Sam Johnstone (West Bromwich Albion), Jordan Pickford (Everton).

Walinzi: Ben Chilwell (Chelsea), Conor Coady (Wolves), Reece James (Chelsea), Harry Maguire (Manchester United), Tyrone Mings (Aston Villa), Luke Shaw (Manchester United), John Stones (Manchester City), Kieran Trippier (Atlético), Kyle Walker (Manchester City).

Viungo wa kati: : Jude Bellingham (Dortmund), Phil Foden (Manchester City), Jack Grealish (Aston Villa), Jordan Henderson (Liverpool), Mason Mount (Chelsea), Kalvin Phillips (Leeds United), Declan Rice (West Ham), Bukayo Saka (Arsenal), Jadon Sancho (Dortmund).

Washambulizi: Dominic Calvert-Lewin (Everton), Harry Kane (Tottenham), Marcus Rashford (Manchester United), Raheem Sterling (Manchester City).

Uhispania

Kikosi cha Uhispania
Kikosi cha Uhispania
Image: Hisani

Walinda lango: David de Gea (Manchester United), Unai Simón (Athletic), Robert Sánchez (Brighton & Hove Albion).

Walinzi: José Gayà (Valencia), Jordi Alba (Barcelona), Pau Torres (Villarreal), Aymeric Laporte (Manchester City), Eric García (Manchester City), Diego Llorente (Leeds United), César Azpilicueta (Chelsea), Marcos Llorente (Atlético).

Viungo wa kati: Sergio Busquets (Barcelona), Rodri Hernández (Manchester City), Pedri (Barcelona), Thiago Alcántara (Liverpool), Koke (Atlético), Fabián Ruiz (Napoli).

Washambulizi: Dani Olmo (Leipzig), Mikel Oyarzabal (Real Sociedad), Gerard Moreno (Villarreal), Álvaro Morata (Juventus), Ferran Torres (Manchester City), Adama Traoré (Wolves), Pablo Sarabia (PSG)

Ujerumani

Kikosi cha Ujerumani
Kikosi cha Ujerumani
Image: Hisani

Walinda lango: Manuel Neuer (Bayern), Bernd Leno (Arsenal), Kevin Trapp (Frankfurt).

Walinzi: Emre Can (Dortmund), Matthias Ginter (Mönchengladbach), Robin Gosens (Atalanta), Christian Günter (Freiburg), Marcel Halstenberg (Leipzig), Mats Hummels (Dortmund), Lukas Klostermann (Leipzig), Robin Koch (Leeds), Antonio Rüdiger (Chelsea), Niklas Süle (Bayern).

Viungo wa kati: Serge Gnabry (Bayern), Leon Goretzka (Bayern), İlkay Gündoğan (Manchester City), Jonas Hofmann (Mönchengladbach), Joshua Kimmich (Bayern), Toni Kroos (Real Madrid), Jamal Musiala (Bayern), Florian Neuhaus (Mönchengladbach), Leroy Sané (Bayern).

Washambulizi: Kai Havertz (Chelsea), Thomas Müller (Bayern), Kevin Volland (Monaco), Timo Werner (Chelsea).

Ufaransa

Kikosi cha Ufaransa
Kikosi cha Ufaransa
Image: Hisani

Walinda lango: Hugo Lloris (Tottenham), Mike Maignan (Milan), Steve Mandanda (Marseille).

Walinzi: Lucas Digne (Everton), Léo Dubois (Lyon), Lucas Hernández (Bayern), Presnel Kimpembe (PSG), Jules Koundé (Sevilla), Clément Lenglet (Barcelona), Benjamin Pavard (Bayern), Raphaël Varane (Real Madrid), Kurt Zouma (Chelsea).

Viungo wa kati: Kingsley Coman (Bayern), N’Golo Kanté (Chelsea), Thomas Lemar (Atlético Madrid), Paul Pogba (Manchester United), Adrien Rabiot (Juventus), Moussa Sissoko (Tottenham), Corentin Tolisso (Bayern).

Washambulizi: Wissam Ben Yedder (Monaco), Karim Benzema (Real Madrid), Ousmane Dembélé (Barcelona), Olivier Giroud (Chelsea), Antoine Griezmann (Barcelona), Kylian Mbappé (PSG), Marcus Thuram (Mönchengladbach).

Ubelgiji

Kikosi cha Ubelgiji
Kikosi cha Ubelgiji
Image: Hisani

Goalkeepers: Thibaut Courtois (Real Madrid), Simon Mignolet (Club Brugge), Matz Sels (Strasbourg).

Defenders: Toby Alderweireld (Tottenham), Dedryck Boyata (Hertha Berlin), Timothy Castagne (Leicester), Jason Denayer (Lyon), Thomas Meunier (Dortmund), Thomas Vermaelen (Vissel Kobe), Jan Vertonghen (Benfica).

Midfielders: Nacer Chadli (İstanbul Başakşehir), Yannick Carrasco (Atlético Madrid), Kevin De Bruyne (Manchester City), Leander Dendoncker (Wolves), Eden Hazard (Real Madrid), Thorgan Hazard (Dortmund), Dennis Praet (Leicester), Youri Tielemans (Leicester), Hans Vanaken (Club Brugge), Axel Witsel (Dortmund).

Forwards: Michy Batshuayi (Crystal Palace), Christian Benteke (Crystal Palace), Jeremy Doku (Rennes), Romelu Lukaku (Inter Milan), Dries Mertens (Napoli), Leandro Trossard (Brighton).

Ureno

Kikosi cha Ureno
Kikosi cha Ureno
Image: Hisani

Walinda Lango: Anthony Lopes (Lyon), Rui Patrício (Wolves), Rui Silva (Granada).

Walinzi: João Cancelo (Manchester City), Rúben Dias (Manchester City), José Fonte (LOSC Lille), Raphael Guerreiro (Dortmund), Nuno Mendes (Sporting CP), Pepe (Porto), Nélson Semedo (Wolves).

Viungo wa kati: William Carvalho (Real Betis), Danilo (PSG), Bruno Fernandes (Manchester United), Gonçalo Guedes (Valencia), João Moutinho (Wolves), Rúben Neves (Wolves), Sérgio Oliveira (Porto), João Palhinha (Sporting CP), Pote (Sporting CP), Renato Sanches (LOSC Lille), Bernardo Silva (Manchester City).

Washambulizi: João Félix (Atlético Madrid), Diogo Jota (Liverpool), Cristiano Ronaldo (Juventus), André Silva (Eintracht Frankfurt), Rafa Silva (Benfica).