Picha: Sakaja aongoza mashabiki wa Ingwe kucheza Ishikuti

Muhtasari

• Sakaja ambaye anawania kuwa gavana wa Nairobi ni shabiki sugu wa AFC Leopards

Image: SAKAJA/TWITTER

Licha ya timu ya AFC Leopards kulazwa na Tusker katika mchuano wa ligi ya kuu FKF siku ya Jumapili, Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja aliwaacha mashabiki wengi wakiwa na furaha kwa mbwembwe zake za kupiga Isikuti.

Sakaja ambaye anawania kuwa gavana wa Nairobi ni shabiki sugu wa AFC Leopards.