logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Lille yaendelea kufanya vyema Champions League

Mechi iliyopita katika kombe hilo, Lille iliwapiga mabingwa watetezi wa kombe hilo Real Madrid bao 1-0.

image
na jacob kimanthi

Football24 October 2024 - 09:44

Muhtasari


  • Klabu ya Lille ya Ufaransa yaandikisha matokeo mazuri ugenini dhidi ya timu ya Athletico Madrid wa mabao 3-0.
  • Ikimbukwe kuwa Lille iliichapa Real Madrid na ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili.

Klabu ya Lille inayoshiriki katika ligi kuu ya Ufaransa sasa inaendelea kuweka rekodi katika kombe la klabu bingwa ulaya baada ya kuzipiga klabu kutoka Madrid.

Lille iliwapiku vijana wa Athletico Madrid wakiwa ugenini mabao 3-1 katika kipute hicho cha kombe bingwa ulaya, siku ya Jumatano 23 Mwezi wa Kumi.

Mechi iliyopita katika kombe hilo, Lille iliwapiga mabingwa watetezi wa kombe hilo Real Madrid bao 1-0.

Kando na mechi hiyo ya Lille matokeo mengine katika kombe hilo ni kuwa;

  • Barcelona 4-1 Bayern Munich
  • Benfica 0-3 Feyenoord
  • Man city 5-0 Sparta Prague
  • RB Leipzig 0-1 Liverpool
  • Salzburg 0-2 Dynamo Zagreb
  • Young Boys 0-1 Inter Milan
  • Atalanta 0-0 Celtic
  • Brest 1-1 Bayer Leverkusen

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved