Droo ya UEFA Europa League ya 2024/25 ya raundi ya 16, robo fainali na nusu fainali ilifanyika Ijumaa 21 Februari katika Baraza la Soka la Ulaya huko Nyon, Uswizi.
Baada ya kukamilika kwa michuano ya awamu ya makundi kwenye ligii ya Europa sasa macho yote yameelekezwa kwa awamu ya 16 ambayo itachezwa kati ya tarehe 6 na 13 mwezi Machi.
Washindi wanane wa awamu ya hatua ya mtoano - ambayo ilifanyika Februari 13 na 20 - wanajiunga na timu nane za juu kutoka awamu ya ligi katika raundi ya 16.
Timu ambazo zilichukua nafasi za juu, moja hadi nane zitachuana na zile nane ambazo zilishinda baada ya michuano ya kutowana.
Hizi hapa ndizo timu ambazo zilichukua nane bora.
Tottenham ( ya ungereza)
Athletic Club (ya Espanyol]
Eintracht Frankfurt (Germany)
Lazio (Italy)
Lyon (France)
Manchester United (ya ungereza]
Olympiacos (ugiriki)
Rangers (Scotland)
Washindi wa awamu ya kucheza kutowana
Ajax (NED)
AZ Alkmaar (Netherland)
Bodø/Glimt (Norway)
FCSB (ROU)
Fenerbahçe (Turkey)
Real Sociedad (Espernyol)
Roma (ya italia]
Viktoria Plzeň (Czech)
Washindi ambao walishinda baada ya michuano ya kutowana
Real Sociedad itachuana na Manchester United
Ajax itachuana na Eintracht Frankfurt
Bodø/Glimt vs Olympiacos
Viktoria Plzeň itachuana na Lazio
Fenerbahçe itachuana na Rangers
Roma itachuana na Athletic Club
FCSB itachuana na Lyon
AZ Alkmaar itacheza dhidi ya Tottenharm.
vilabu hivyo viliunganishwa kulingana na nafasi zao mwishoni mwa awamu ya ligi ili kuunda jozi nne (vilabu katika nafasi 1 hadi 8
vilabu vilipangwa katika moja ya nafasi mbili katika raundi ya 16 dhidi ya mshindi husika wa awamu ya mtoano, ambaye nafasi yake iliamuliwa na droo ya awamu ya mtoano.