Leo katika podi hii tunakupa ishara zote ambazo zinafaa kukuonyesha kwamba upo pekee yako katika uhusiano ama ndoa .Endapo utaziona daalili hizi basi anza kujipa shughuli kwa sababu mwenzio ,hayupo nawe katika Njia moja
Mwenzako akiwa kwenye simu anapiga kicheko sana lakini ukimwangalia amenuna .je ,uhusiano wako na mwenzio uko vipi? Sikiza Podi nzima hapa na nyingine zilizoambatanishwa hapa