Katika Podi ya leo sikiliza jinsi watu walivyojipata katika ndoa bila mpango . Jamaa amefichua jinsi mwana dada alivyokatalia katika nyumba yao akifikiri ni mzaha kumbe kweli alikuwa amemba virago vyake vyote na kuhamia pale kama mke .Na hapo ndipo safari yao kama mume na mke ilivyoanza
Jamaa alifikiri ilikuwa mzaha kwamba mwana dada amebeba nguo zake zote ili kuhamia kwake kumbe alikuwa ashafanya uamuzi wa kuolewa bila uhusiano ,wala posa .