Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu . Lakini sasa iwapo kuna njia rahisi ya kuvunjika kwa ndiooa ama sababu kubwa ya kuvunja mahusiano basi simu ya mkononi imetajwa kuwa nambari moja katika orodha hiyo
Wengi wanajutia au hata kufurahi kwa uamuzi wao wa kujipata wakchungulia jumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao wa mkononi lakini jambo ambalo hawakulipangia ni matokeo yake .