Katika Podi ya leo tunajadili ni muda upi ambao watu katika uhusiano mpya wanafaa kuamua kwamba wakati umewadia kujuana kimwili .Inafahamika kwamba inahitajika watu kungoja hadi wakati wanapofunga ndoa ,lakini tusidanganye kwa sababu yanafanyika haya bila uthibiti na muda ni bora kuzungumza kuhusu hilo