Ukweliwote kuhusu ndoa za mke zaidi ya mmoja

Polygamy : Je, ni kweli kwamba kila mwanamume anataka kuwa na zaidi ya mke mmoja? #PodiyaYusufJuma

Sikiliza kuhusu hali ilivyo kuhusu unafiki wa kizazi hiki kuhusu ndoa za mke zaidi ya mmoja

Muhtasari
  •  Wanaume wengi wakipewa fursa  na uwezo watajipata na mke zaidi ya mmoja 
  •  Katika Podi hii sikiliza kuhusu  unafiki unozingira suala hili zima la ndoa za mke zaidi ya mmoja 

 

Katika Podi hii tunajadili unafiki na mjadala mkubwa unaozingira uala zima la ndoa za mke zaidi ya mmoja .Inadaiwa kwamba iwapo kila mwanamme angepewa fursa na uwezo basi angekuwa na mke zaidi ya mmoja .

Katika Podi hii tunajadili unafiki na mjadala mkubwa unaozingira uala zima la ndoa za mke zaidi ya mmoja .Inadaiwa kwamba iwapo kila mwanamme angepewa fursa na uwezo basi angekuwa na mke zaidi ya mmoja .Tatizo ni kwamba kunao walio katika ndoa za mke mmoja lakini wana msururu wa wapenzi wa pembeni.Mababau zetu walifaulu vipi kuishi katika ndoa za namna hiyo na ni vipi kizai cha sasa kinapojipata mashakani kuhusu suala hilo?

Tatizo ni kwamba kunao walio katika ndoa za mke mmoja lakini wana msururu wa wapenzi wa pembeni.Mababau zetu walifaulu vipi kuishi katika ndoa za namna hiyo na ni vipi kizai cha sasa kinapojipata mashakani kuhusu suala hilo?

 

Wivu katikia mapenzi ni jambo la kawaida ,lakini utajuaje iwapo wivu wa mwenzako umevuka mipaka?Sikiliza podi nzima ujiamulie na kujua wanayopitia baadhi ya watu