Kuna tabia ambazo waafrika hawaziachi

Tabia za Wakenya ama Waafrika Utazijua tu kupitia mambo haya...#PodiyaYusufJuma

Muhtasari

  • Zijue zote tabia ambazo wafafrika hawaziachi
  • Kuanzia mazoea ya kufanya mambo kwa njia fulani hadi tabia za kuchekesha ,waafrika wana mengi ya vituko

Kuna mabo ambayo utayaona tu hapa nyumbani -Mengine hayaishi hata uishi wapi na urudi na ndio baadhi ya tabia ama mitindo inayotutambua kama waafrika .Katika podi hii leo tunapata kicheko tukikumbuka baadhi ya vitu hivi ambavyo havituachi ama tumekataa kuviacha .