Krisimasi ya Corona

Ni njia zipi za gharama ya chini unazoweza kusherehekea krisimasi hii ya Corona#Podiyayusufjuma

Usafiri pia unahatarisha uwezekano wa watu kusambaza ama kuambukizwa corona

Muhtasari

 

  • Mwaka huu janga la Corona litabadilisha jinsi krisimasi inavyosherehehekewa
  • Kuna njia kadhaa za gharama ya chini unazoweza kusherehekea krisimasi hasa baada ya mapato ya watu wengi kuvurugika
  •  

 

Kuna njia nyingi za gharama ya chini ambazo unaweza kusherehea krisimasi mwaka huu wa Corona .Tayari imefahamika kwamba kuna hatari ya kusafiri kwa ajili ya uwezekano wa kuambukizwa amaba kusambaza virusi vya corona .

Kuna njia nyingi za gharama ya chini ambazo unaweza kusherehea krisimasi mwaka huu wa Corona .Tayari imefahamika kwamba kuna hatari ya kusafiri kwa ajili ya uwezekano wa kuambukizwa amaba kusambaza virusi vya corona .Kuna wengi ambao huenda hilo likawazuia kusafiri sehemu moja hadi nyingine .Katika Podi hii tunakueleza njia nyingine rahisi za kuweza kusheehekea krismasi mwaka huu bila kugharamika sana

Kuna wengi ambao huenda hilo likawazuia kusafiri sehemu moja hadi nyingine .Katika Podi hii tunakueleza njia nyingine rahisi za kuweza kusheehekea krismasi mwaka huu bila kugharamika sana