Podcast

Mkusanyiko wa yote yanayotukwaza katika siasa uchumi na maendeleo#PodiyaYusufjuma

Licha ya shule kufaulu kuzuia maambukizi ya Corona ,mazingira ya kusomea ni mabovu sana katika shule nyingi

Muhtasari
  •  Uchumi umevurugika na serikali imeondoa afueni za kodi zilizokuwa zimetangazwa awali 

Katika podcast hii tunazungumza kuhusu yote tuliofanya kwa njia isiofaa kuanzia kuvuruga uchumi ,janga la corona na mgomo wa wahudumu wa afya katika kaunti mbali mbali .Pia ilisikitisha kushuhudia wanafunzi wakirejea shuleni na kuendelea kusoma chini ya maizngira magumu .