Muhtasari
- Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine
- Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya .
Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya .
Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya . Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kionozi yeyote au kumpiga jeki mwingine .Amesema hajamuambia yeyote kwamba hatomuunga mkono nairobu w arais William Ruto
Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine .Amesema hajamuambia yeyote kwamba hatomuunga mkono naibu wa rais William Ruto