Podcast

Fahamu wanachomaanisha Wakenya wakisema hivi#PodiyaYusufJuma

Jua wanachomaanisha watu wakisema haya

Muhtasari

 

  •  Wakati mwingi mtu atakuambia kitu tofauti akimaanisha jambo jingine 
  •  Kuwa mwangalifu kuhusu maneno na ahadi unazopewa na  kwa sababu wakati  mwingine unachezewa shere 

 

Podi ya Yusuf Juma
Image: Yusuf Juma

Katika Podi hii mimi na Mutala Mukosia tunakuchambulia lugha ya wakenya .Iwapo utasikia watu wakisema hivi basi wanachomaanisha ni hiki .

Katika Podi hii mimi na Mutala Mukosia tunakuchambulia lugha ya wakenya .Iwapo utasikia watu wakisema hivi basi wanachomaanisha ni hiki .Wakati mwingine unapewa ahadi fulani ama unasikia mtu akikuambia jambo moja bila wewe kujua anamaanisha nini ,Fahamu yote leo katika podcast hii ili mtu akikuambia maneni haya unafahamu papo hapo anachomaanisha na ujitayarishe ifaavyo .

Wakati mwingine unapewa ahadi fulani ama unasikia mtu akikuambia jambo moja bila wewe kujua anamaanisha nini ,Fahamu yote leo katika podcast hii ili mtu akikuambia maneni haya unafahamu papo hapo anachomaanisha na ujitayarishe ifaavyo .