Makahaba waeleza jinsi wanavyovuna donge nono huku wakikabiliana na changamoto

Ukahaba ni biashara isiyo halali lakini ambayo inaoimarika sana nchini Kenya na hivi sasa inakua haraka kupitia mfumo wa kidigitali huku wafanyabiashara hiyo wakipata faida ya mamilioni ya pesa.

Katika makala maalum tulichunguza na kuwahoji baadhi yao;

Selina (ambalo si jina lake rasmi) mwenye umri wa miaka 26 anasema kwamba ukahaba ni biashara inayokuwa kwa kasi zaidi  nchini Kenya kwa njia ya kidijitali kutokana na kuongezeka kwa wateja.

“Kazi hii ilinisaidia kulipia karo yangu katika chuo kikuu cha kibinafsi. Ninalea na kukimu mahitaji maalum kwa mwanangu wa kiume wa umri wa miaka saba, na ndugu zangu wawili pamoja na mama yangu.”

Pia anasema kwamba ana vyumba vya kukodi Kileleshwa, ambapo pato lake ni shilingi 400,000 kila mwezi.

Mzee Wa Miaka 94, Wake 19 Na Watoto 100 Aoa Tena, Kunani ?

Anita (tumelibana jina lake) anaendesha biashara yake katika barabara ya Koinange hadi City Hall.  Anasema anafadhalisha katika maeneno wazi  kwa kuwa hahitaji kukodi jumba maalum au madanguro.

‘Biashara yangu iliathiriwa wakati klabu ya Simmers ilipobomolewa. Katiba mpya pamoja na nyadhifa nyingi  kuongezwa tunapata tija nyingi sana” Anita ambaye alikuwa amevalia skati nyekundi alisema.

Rita (Siyo jina lake kamili) mwenye umri wa miaka 30, anaendesha biashara yake Huringham. Anasema kwamba anahofia jinsi ambavyo biashara hii inavyoendeshwa katika njia ya kidijitali.

“Kwa kipindi cha miaka miwili nina shauku tutakosa kazi. Baadhi yetu hatuna ujuzi wa teknolojia wa hata kutumia simu ya Android, achia mbali kutumia tovuti kunadi biashara yetu.

“Mabinti zangu huchukua vifaa vya kupima ukimwi kila mara wakiwa kazini.” Maureen alisema.

Kabla hawajaanza biashara, wanajipima kwanza. Shukran kwa wanafamasia wangu ambo huniletea vifa hivyo kila mara.

“Baadhi ya wateja wangu hujipima hata juma moja mapema kabla ya kujaamiana.” alisema.

Ijapokuwa ripoti hiyo ni nzuri, ikumbukwe kwamba ukimwi huchukua kati ya miezi sita ili dalili zionekana.

Ronaldo Afunga Bao La Kihistoria Katika Taaluma Yake

Daktari Fredrick Kinama anasema kuwa yeye hutibu magonjwa mengi ya sanaa kutoka wakahaba.

Phelisters anakiri kuwa na wateja wa hapa nchini na hata kutoka ughaibuni.

“Ninaenda kila mahali  katika baraste kuu hadi madanguro mengi. Ninao wateja wangu wa kibinafsi pia, wengi hunandi kutoka kwa wovouti,” alisema.