yusuf juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 27th February 2017

Jifunze kuridhika kwanza ,kisha yote -ikiwemo furaha vitakuja kwa hiari.
Yusuf Juma

Thought of the day February 24th, 2017 by Yusuf Juma

Heri unyenyekevu unaozingatia kilicho cha haki na kweli ,Kuliko Kiburi kinachopima ni nani yuko sawa
Yusuf Juma

Thought of the day February 23rd, 2017 by Yusuf Juma

Ukuta unaojenga kukuepushia karaha,huenda pia ukafukuza raha
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Januari 15 2017

Kitu kibaya zaidi kuliko kuanza jambo na kufeli …ni kukosa kuanza chochote.
Yusuf Juma

Valentine’s Day Thought Of The Day By Yusuf Juma, 14th Feb 2017

Baada ya yote kusemwa,makubwa kwa madogo;Baada ya yote kufanywa ,mepesi kwa mazito –Kuna tu kimoja cha Raha,Kupenda na Kupendwa.  V
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Februari 13 2017

Heri waliotangulia kulia, Chako kitafika baadaye, kitakuwa kichungu na kitadumu.
yusuf juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 10th February 2017

Usilolitaka tako,usilikatie katu ila kwa taguo lako.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 8th February 2017

Hukauki unapoogea..
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 7th February 2017

Kwa uzito unavyotoa, ndivyo kwa uchungu utakavyopokea #ukarimu unazaa ukarimu.
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Furahiday 3, Februari 2017

The better I get to know men, the more I find myself loving dogs. Charles_de_Gaulle
yusuf-juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 31st January 2017

Only one man in a thousand is a leader of men, the other 999 follow women.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 27th February 2017

Vita pekee vya maisha ni kupigania vinavyokufaa na kuvisamilisha usivyohitaji.
Yusuf Juma

Wazo La Siku Na Yusuf Juma, 25th January 2017

Njoo tu kwa pupa, zito kwa ukavu litakusakama.
yusuf juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 24th January 2017

Jina nla kukutambua, maumbile ni kukusifia, tabia n’za kukujua na vitendo n’vya kukujenga au Kukubomoa.
yusuf juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 23rd January 2017

Nihadae kwa maneno, Nipunje kwa macho, ila naomba uniteke kwa vitendo.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 20th January 2017

Kila kitamu kina gharama yake -gharama fiche
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 19th January 2017

Ajaye kwa joto, mtulize kwa maji.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 18th January 2017

Kutii kanuni hata zisipokuboresha ni kujigeuza mtumwa kwa hiari.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 16th January 2017

Ni vizuri kufanya vitu unavyojua..aki guess work na maisha !
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, 13 Januari 2017

Kinaya cha fikra, kujaza mengi yasiokufaidi na kutimua mazuri yanayojenga
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, 12 Januari 2017

Usiisalimishe hatma yako katika maamuzi ya wengine. Tunga mkondo unaokufaa.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 11th January 2017

When you waste your best chances, you narrow down your choices.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 10th January 2017

The best trap is to wait. A fool will always find a reason to fall.
Yusuf Juma

Thought Of The Day By Yusuf Juma, 9th January 2017

When you don’t have a choice, you find away.
yusuf juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Januari 6 2017

Katika pilka pilka zako, je umekutana na mgombeaje wa kiti chochote cha uchaguzi unayefikiria anaweza kuleta mageuzi? anafaa kuwa mkweli,awe kijana(youth) na awe na maono...
Yusuf Juma

Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, 5th Januari 2017

Is it practical to have daily resolutions rather than having new ones every new year?