Lusaka ambaye ni kiongozi wa chama cha New Ford Kenya amewasuta viongozi wanaomkashfu kwa kukivunjilia mabli chama cha New ford Kenya na kujiunga na chama cha Jubilee kwa kudai kua pilipili usio ila yakuashia nini kwani kila mwanasiasa ako na haki na huru ya kujiunga na mrengo ambao unampendeza.
Lusaka amedai kuwa baadhi ya wale wanaowakashifu huonekana katika ikulu kuu wakitaka kujiunga na serikali kwa kisisri
Lusaka amesema kwamba heri inzi afe katika maziwa kuliko kufariki chooni na kamwe hata banduka mrengo wa jubilee.