Kalonzo agura Azimio,kuwania urais kwa tikiti ya OKA

Muhtasari
  • Kalonzo agura Azimio,kuwania urais kwa tikiti ya OKA
KINARA WA WIPER KALONZO MUSYOKA
Image: WILFRED NYANGARESI

Kiongozi wa chama cha Wper Kalonzo Musyoka amegura muungano wa Azimio, huku akitangaza kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti wa tikiti ya OKA.

Huku akizungumza katika makazi yake makuu ya Karen Kalonzo amesema kwamba hakuna imani katika muungano wa Azimio.

"Kama hamna imani, huwezi fanya biashara,kwa muda gani tutajitolea hata baada ya kujitolea wanaharibu," Kalonzi Alisema.

Kalonzo amesema kwamba jina lake liko tayari IEBC kama mgombea wa urais wa chama cha Wiper.

"Kama OKA haingekuwa imeharibika ningemshauri ndugu yangu Gideon Moi awe mgombea mwenza wangu."

Mengi yafuata;