• IEBC ilikataa kumuidhinisha Kigame kwa misingi kuwa hakutimiza matakwa yanayohitajika kuania urais.