(Video) Watu wenye ulemavu wa kusikia wataka kusaidiwa kupiga kura

Wanataka IEBC kuajiri wataalam kuwaelekeza wakati wa kupiga kura

Muhtasari

• Twataka usaidizi kutoka IEBC siku ya kupiga kura - Watu wenye tatizo la kuskia wasema