logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Orodha ya wabunge wateule ambao wametangazwa tayari

Tazama matokeo ya wabunge yaliyopokelewa na Radio Jambo hadi kufikia sasa

image
na Radio Jambo

Habari10 August 2022 - 17:50
Shughuli katika bunge la kitaifa

Jumanne, Agosti 9, Wakenya kutoka maeneo yote ya nchi walishiriki katika zoezi la upigaji kura kuwaweka viongozi wapya afisini.

Uchaguzi wa nyadhifa mbalimbali ulifanyika kote nchini isipokuwa kwa baadhi ya maeneo ambapo uliahirishwa.

Huku shughuli ya kuhesabu kura za viti vya urais ikiendelea, matokeo ya wajumbe wa bunge la kitaifa yameanza kutiririka huku mengine yakiwa yametangazwa tayari.

Haya hapa ni matokeo yaliyopokelewa na Radio Jambo hadi kufikia sasa: (Orodha imepangwa kwa mpangilio wa alfabeti)

Aldai- Maryanne Kitany (UDA)

Ainabkoi - Samuel Chepkonga (UDA)

Alego Usonga- Samuel Atandi  (ODM)

Bamachoge Chache - Alfah Miruka (UDA)

Baringo South - Charles Kamuren (UDA)

Belgut - Nelson Koech (UDA)

Bomachoge Borabu- Obadiah Barongo (ODM)

Bomet (Women Rep) -Linet Chepkorir Toto (UDA)

Bomet East - Richard Yegon (UDA)

Bonchari- Charles Onchoke (UPA)

Bondo - Gideon Ochanda (ODM)

Borabu- Patrick Osero (ODM)

Butere- Tindi Mwale (ODM)

Budalangi - Raphael Wanjala (ODM)

Cherengany - Patrick Simiyu (DAP-K)

Chesumei- Paul Biego (UDA)

Dagoretti North- Beatrice Elachi (ODM)

Dagoretti South- Dennis Waweru (Jubilee)

Eldama Ravine - Musa Sirma (UDA)

Embakasi East- Paul Babu Owino Ongili (ODM)

Embakasi West- Mark Mwenje (Jubilee)

Emgwen- Josses Lelmengit (UDA)

Emurua Dikirr- Johanna Ngeno (UDA)

Garissa Township- Aden Duale (UDA)

Garsen- Edward Muriu  (UDA)

Galole - Hiribae Buya  (ODM)

Gilgil -Martha Wangari (UDA)

Igembe South - John Mwirigi (UDA)

Kabuchai – Joseph Majimbo Kalasinga (Ford-Kenya)

Kaiti - Joshua Kimilu (Wiper)

Kajiado Central- Elijah Memusi (ODM)

Kandara - Alice Wahome (UDA)

Kangema - Peter Kihungi (UDA)

Kangundo - Fabian Kyule Muli (GDDP)

Kasarani- Ronald Karauri (Indipendent)

Kasupil – Ongondo Were (ODM)

Kasipul Kabondo - Eve Akinyi Obara (ODM)

Kipkelion East - Joseph Cherorot (UDA)

Kericho (Women Rep) - Beatrice Kemei (UDA)

Keiyo North - Adams Kipsanai (UDA)

Kiambaa- Njuguna Wanjiku (UDA)

Kibra - Peter Orero (ODM)

Kibwezi West- Mwengi Mutuse  (Wiper)

Kigumu - Joseph Munyoro (UDA)

Kieni - Anthony Njoroge (UDA)

Kiharu- Ndindi Nyoro (UDA)

Kimilili -Didmus Barasa (UDA)

Kipipiri - Wanjiku Muhia (UDA)

Kipkelion West -Hillary Kosgei (UDA)

Kitutu Chache South - Anthony Kibagendi (ODM)

Kitutu Chache North - Japheth Nyakundi (UDA)

Kitutu Masaba - Clive Ombane (ODM)

Kisumu Central - Joshua Oron (ODM)

Khwisero- Christopher Aseka (ODM)

Laikipia West - Wachira Karani (UDA)

Lang’ata- Phelix Odiwuor  (ODM)

Likuyani - Innocent Mugabe (ODM)

Lurambi - Titus Khamala  (ODM)

Makueni- Suzanne Kiamba (Wiper)

Makadara- George Aladwa (ODM)

Mathare - Anthony Oluoch (ODM)

Marakwet East - Kongogo Bowen (UDA)

Matungulu - Stephen Mule (Wiper)

Moiben - Phylis Bartoo (UDA)

Mogotio - Reuben Kiborek (UDA)

Molo - Francis Kuria Kimani (UDA)

Mosop- Abraham Kirwa (UDA)

Mukurweini - John Kaguchia (UDA)

Mwingi North - Paul Nzengu (Wiper)

Nandi Hills- Benard Kitur (UDA)

Naivasha -Jayne Kihara (UDA)

Navakholo - Emmanuel Wangwe (ODM)

Ndia- George Kariuki  (UDA)

Ndiwa- Martin Owino (ODM)

Ndaragwa - George Gachagua (UDA)

Nyaribari Masaba - Dan Manduku (ODM)

Nyaribari Chache - Zaheer Jhanda (UDA)

Othaya - Michael Wambugu Wainaina (UDA)

Rarieda - Otiende Amollo (ODM)

Ruaraka - Tom Kajwang (ODM)

Saboti- Caleb Amisi  (ODM)

Samburu West- Naisula Lesuuda (Kanu)

Seme- James Nyikal (ODM)

Sirisia - John Waluke (Jubilee)

Shinyalu - Fred Ikana (ANC)

Starehe - Amos Mwago Maina (Jubilee)

Sotik - Hillary Sigei (UDA)

South Mugirango - Sylvanus Osoro (UDA)

Suba North- Millie Odhiambo (ODM)

Suba South – Caroli Omondi (ODM)

Suna East- Junet Mohamed (ODM)

Tinderet- Julius Kibiwot  Meli (UDA)

Ugunja -Opiyo Wandanyi (ODM)

Vihiga – Ernest Kagesi (ANC)

Webuye East- Martin Wanyonyi (Ford Kenya)

Westlands- Tim Wanyonyi  (ODM)

Wundanyi - Danson Mwashako (Wiper)


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved