Matokeo ya uchaguzi wa urais Kulingana ya IEBC

Matokeo haya ni kulingana na takwimu za tume ya IEBC

Muhtasari

• Jumla ya wagombeaji wanne walishiriki uchaguzi wa mwaka huu 2022: Raila Odinga, William Ruto, George Wajackoya na Davd Mwaure. 

RADIO JAMBO
RADIO JAMBO
Image: RADIO JAMBO

Tume ya uchaguzi nchini (IEBC) inaendelea na zoezi la kuthibitisha fomu za 34B zenye matokeo ya uchaguzi wa urais. Tume hiyo inatarajiwa kuthibitisha fomu zote kutoka jumla ya maeneo bunge 290.

Haya ni matokeo ya urais kutoka maeneo bunge kulingana na takwimu za IEBC .

 1. Eneo bunge la Webuye East 

Raila: 13, 720

Ruto: 16, 412

Waihiga: 110

Wajackoyah: 249

Registered voters: 48,950 

Valid votes: 30,491

Kura zilizokataliwa: 384

2. Eneo bunge la Kangundo

Raila: 29,808 

Ruto: 8,405 

Waihiga: 93

Wajackoyah: 365 

Registered voters:  60, 796 

Valid votes: 38, 671.

Kura zilizokataliwa: 330

3. Eneo bunge la Baringo Centra

 Raila:  1,656

Ruto: 33, 162

Waihiga: 62

Wajackoyah: 26

Registered voters: 45, 949

Valid votes: 34, 906

Kura zilizokataliwa: 168

4.Eneo bunge la Ol-Jorok

Raila: 7,579

Ruto: 31,982

Waihiga: 140 

Wajackoyah: 166

Registered voters: 60,199

Valid votes: 39,867

Kura zilizokataliwa: 296

5. Eneo bunge la Lamu East

Raila: 9564

Ruto: 4639

Waihiga: 48

Wajackoyah: 452 

Registered voters: 22,047

Valid votes: 14,703

Kura zilizokataliwa: 436

6. Eneo bunge la Kathiani

Raila: 30,984

Ruto:  6,624

Waihiga: 91

Wajackoyah: 300 

Registered voters: 60,224

Valid votes: 37,999

Kura zilizokataliwa: 260

7. Eneo bunge la Gatundu South  

WSR-: 41712

RAO-: 12290

WAJ-: 311

MWAURE -: 223

Kura zilizokataliwa -  475

 

8. Eneo bunge la NDIA 

WSR-: 41293

RAO-: 6872

WAJ-: 232

MWAURE -: 151

9. Eneo bunge la AINABKOI  

WSR-: 35401

RAO-: 8620

WAJ-: 90

MWAURE -: 50

 

10. Eneo bunge la YATTA  

WSR-: 10391

RAO-: 38225

WAJ-: 325

MWAURE -: 121

Kura zilizokataliwa - 42

11. Eneo bunge la Moiben

Raila: 6,772

Ruto: 49,625

Wahiga: 54

Wajackoyah: 51

Wapiga kura waliojiandikisha: 77,877

Kura halali: 56502

Kura zilizokataliwa: 345

12. Eneo bunge la Nandi Hills

Raila: 3471

Ruto: 38,308

Wahiga: 40

Wajackoyah: 45

Wapiga kura waliojiandikisha: 47,910

Kura halali: 56502

Kura zilizokataliwa: 229

13. Eneo bunge la Kaiti

Raila:33,617

Ruto: 7,659

Wahiga: 95

Wajackoya: 272

Waliosajiliwa: 65,188

Inatumika: 41,643

Kura zilizokataliwa: 228

14. Eneo bunge la Gilgil

Raila: 20,997

Ruto: 39,205

Waihiga: 246

Wajackoya: 275

Waliosajiliwa: 95,645

Inatumika: 60,743

Kura zilizokataliwa: 609

15. Eneo Bunge la Kipkelion Mashariki

Raila: 3,303

Ruto: 43,898

Wahiga: 33

Wajackoyah: 43

Waliosajiliwa: 63,679

Halali: 47,227

Kataa: 248

16. Eneo Bunge la Mwingi Kaskazini

Raila: 31,665

Ruto: 11,508

Waihiga: 230

Wajackoyah: 424

Waliosajiliwa: 68,829

Halali: 43,817

Imekataliwa: 282