Siku ya Jumanne mwanamume au mwanabiashara mmoja alitaka jamaa aliyetambulika kama Kelvin kuchapwa nayuhunyo baada ya kuwa na tabia isiyopendeza jamii.
Kulingana na mwanamume huyo kutoka Makueni, Kelvin amekuwa na mazoea ya kuchukua taulo za wanawake baada ya kuingia bafu.
"Nataka mwanamume ambaye anaitwa Kelvin achapwe nyahunyo kwa mazoea ya kuchukua taulo za wanawake baada ya yao kuingia bafu
Nitabia ambayo sio nzuri kwa jamii na hata kizazi cha sasa, kwani anawatesa wanawake hao baada yao kumaliza kuoga na kupata kwamba hamna taulo," Alisema mwanamume huyo.
Je Kevo alikuwa na makosa au ni mazoea ambayo amezoea na kujipa furaha?