logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nimechoka!Mama mkwe amekuwa akinipa kazi ya uchawi-Mwanamke atoboa siri

Mwanamke mmoja aliwaacha mashabiki wa radiojambo midomo wazi baada ya kutoboa siri,

image

Vipindi10 May 2022 - 15:11

Muhtasari


  • Nimechoka na kazi ya uchawi,mwanamke amwambia mama mkwe

Kuku wakiwa wengi wanamwaya mtama, siri zao zikiwachoma na kusindwa kuziweka huwa wanatoboa katika kipindi cha toboa siri.

Mwanamke mmoja aliwaacha mashabiki wa radiojambo midomo wazi baada ya kutoboa siri, jinsi mama mkwe wake amekuwa akimpa kazi ya uchawi.

Kulingana na mwanamke huyo ambaye alidai kwamba ametoka katika kaunti ya Kisii alisema kwamba mumewe na wachawi wengine wamekuwa wakimpa kazi ya kupika uji na ugali.

Hii hapa siri yake;

"Nataka kumwambia mama mkwe na mume wangu kwamba nimechoka na hiyo kazi yao ya uchawi, nimekuwa nikiwapikia ugali na nyama ya mtu usiku wanakula na wachawi wenzao

Pia wamefuga fisi ambao nimekuwa nikiwapikia uji, ni fisi wawili wa kiume na wa kike, sasa nimechoka nataka kuwatobolee siri kwama nimechoka na kazi yao na kwamba nitawaacha."


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved