Nyahunyo:Jamaa amemtia dada yake ambaye ana akili punguani mimba-Jamaa asimulia

Muhtasari
  • Wakikukosea au kukosea jamii, walete kwenye kipindi cha Mbusi na Lion Teketeke katika kitengo cha Nyahunyo ili makosa yao yatolewe
  • Jamaa mmoja siku ya JUmanne alitaka, mwanamume wa mtaa wao atolewe makosa baada ya kmpachika dada yake mimba
Mbusi,Lion na DJ Slim
Image: Studio

Wakikukosea au kukosea jamii, walete kwenye kipindi cha Mbusi na Lion Teketeke katika kitengo cha Nyahunyo ili makosa yao yatolewe.

Jamaa mmoja siku ya JUmanne alitaka, mwanamume wa mtaa wao atolewe makosa baada ya kmpachika dada yake mimba.

KUlingana na jamaa huyo mwanamke huyo hana akili timamu, ambapo jamaa huyo alienda mafichoni baada ya kutekeleza kitendo hicho.Licha ya mwanamke huyo kuwa dada yake.

Usimulizi

"KUna mwanamume nataka apewe nyahunyo kwa ababu alimpachika dada yake ambaye ana akili punguani mimba

Baada ya hayo alienda mafichoni, akiulizwa alikuwa anasema kwamba ni bhangi ilimfanya afanye hayo," Alieleza mwanamume huyo.

Ni vitendo vya kushangaza na kuvunja moyo ambavyo vimekuwa vikiendelea nchini kote na kuwasikitisha wengi.