Katika kitengo cha Nyahunyo, jamaa mmoja alimtaka bbaa yake mdogo apewe nyahunyo baada ya kumnyemela dada yake mwenye umri wa miaka 14.
Kulingana na jamaa huyo baba yake mdogo, amekuwa akimrushia dada yake maneno ya mapenzi licha yake kuwa amekomaa.
Usimulizi
"Baba yangu mdogo amekuwa akimkatia dada yangu ambaye ana miaka 14, tulimpelekea kwa nyumba kumi lakini akataoroka
Amekuwa akiingia nyumbani kwake usiku na kuamka mapema akienda kazi,ana msichana mkubwa ambaye ameolewa yaani ni babu ya mtu
Nataka apewe nyahunyo ili awache tabia yake amabayo imeoza,"
Ni taia na vitendo ambavyo tunasiskia na kushuhudia kila kuchao, na wala sio kwenye filamu.