Nyahunyo:Jamaa aiba na kutumia chupi za wanawake kwa 'kunyonga'

Muhtasari
  • Jamaa aiba na kutumia chupi za wanawake kwa 'kunyonga'
  • Nani amekosea jamii au amekukosea umlete katika kitengo cha Nyahunyo atolewe makosa, na kurekebishwa tabia zake
DJ Nyce,Mbusi na Lion
Image: Studio

Nani amekosea jamii au amekukosea umlete katika kitengo cha Nyahunyo atolewe makosa, na kurekebishwa tabia zake.

Je umewahi kaa kwenye ploti hii Kanairo na ukapoteza chupi yako ya ndani na kushindwa haswa nani aliiba?

Jamaa mmoja kutoka Kikuyu alitaka jirani yake apigwe nyahunyo kwa kuiba chupi za wanawake.

Je baada ya kuiba anafanyia nini chupi kama haendi kuuza?

Kulingana na jamaa huyo, mwanamume huyo amekuwa akiiba chupi hizo na kuzitumia kwa 'kunyonga' yaani kimombo 'Masturbate'.

Hii ni tabia ambayo imeibuka hasa kwa kisasi hiki cha sasa.

"Nataka Brayo apewe nyahunyo, kwa sababu amekuwa akiiba chupi za wanawake wakianika na kuzitumia kwa 'kunyonga'

Alipatikana akiiba na mwanamke mmoja amabpo tulienda kwa nyumba yake na kupa chupi nyingi ambazo alikuwa ameiba," Alisimulia jamaa huyo.

Je anastahili nyahunyo au ni kwa raha zake?